FOMU ZA UCHAGUZI WA CWT KWA NGAZI ZOTE MWAKA 2020
Kwa mujibu wa katiba ya Chama cha walimu Tanzania , kila baada ya miaka mitano hufanika uchaguzi mkuu wa viongozi kwa ngazi zote, hivyo ili kupata fomu za uchaguzi kwa uchaguzi wa mwaka 2020 soma zaidi kwa kubofya neno Read More
ORODHA
FOMU NGAZI YA TAWI
FOMU NGAZI YA WILAYA
FOMU NGAZI YA MKOA
FOMU NGAZI YA TAIFA