MAJINA YA VYETI VYA HISA AMBAVYO VIPO TAYARI

Katibu Mkuu wa chama cha walimu Tanzania  anawatangazia walimu wote ambao walikuwa kwenye ajira mpaka Mwezi february 2015 walinunuliwa hisa na chama cha walimu Tanzania(CWT) katika benki ya Mwalimu Commercial Bank(MCB) lakini kuna baadhi ya Walimu hao hawakupata vyeti vya umiliki wa hisa zao.

Orodha ya majina ya wanahisa hao imeambatanishwa hapa chini Hivyo anawaomba waangalie majina yao katika orodha na kama jina lako litaonekana katika orodha  basi tuma taarifa zifuatazo kupitia barua pepe ya chama This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
1.Jina lako kamili
2.Mkoa
3.Wilaya
4.Kituo cha kazi
5.Check Namba(Namba ya ajira)
6.Namba ya simu inayopatikana wakati wote

Kwa wale ambao hawakupata na walikua kwenye ajira kabla ya februari 2015 na hawajaona  majina yao katika orodha hii pia  watume taarifa  zao kupitia barua pepe This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
1.Jina lako kamili
2.Mkoa
3.Wilaya
4.Kituo cha kazi
5.Check Namba(Namaba ya ajira)
6.Namba ya simu inayopatikana wakati wote
5.Tarehe ya Ajira
6.Tarehe ya Kustaafu kwa wale waliokwwista staafu tayari

Aidha kwa wale pia walionunua hisa wenyewe nje ya zille mia moja zilizonunuliwa na chama na hajapata cheti cha umiliki tafadhali sana naye atume taarifa hizo kwenye anuani hiyo ikiambatana na kopi ya benki au risiti ya malipoNB
Kwa maoni,ushauri au malalamiko yoyote kuhusu hisa taarifa zitumwe kupitia barua pepe husika(This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.) au unaweza kufika katika ofisi zetu zilizo karibu nawe.

ORODHA
MAJINA YANOYOANZA NA HERUAFI A-E
MAJINA YANOYOANZA NA HERUAFI F-J
MAJINA YANOYOANZA NA HERUAFI K-O
MAJINA YANOYOANZA NA HERUAFI P-T
MAJINA YANOYOANZA NA HERUAFI U-Z

 

Share:

Contact Info

  •  

    CWT DODOMA  HOUSE OPPOSITE JAMUHURI STADIUM DODOMA

  •  

    This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…