Solidarity Song/ Wimbo wa mshikamano

Solidarity Song

Solidarity forever,

Solidarity forever,

Solidarity forever,for the union makes us strong.

In Swahili:

Wimbo wa mshikamano

Wafanyakazi wote tujiunge pamoja,

Wafanyakazi wote tujiunge pamoja,

Wafanyakazi wote tujiunge pamoja, kujitenga hatari.

Haya shime tujiunge, haya shime tujiunge,

Haya shime tujiunge, kujitenga hatari.

Solidarity for teachers’ power forever.

Mshikamano, daima ndio ukombozi wetu.

Kauli za mshikamano.

(i) Kiongozi: Teachers.

(ii) Wote: Shaping the future.

(iii) Kiongozi:Walimu,

(iv) Wote: Nguvu moja, sauti umoja.

(v) Kionozi:Teachers.

(vi) Wote: A force for social change.

WIMBO MAALUM WA CWT

1. Chama cha Walimu, Tanzania moto moto.

Chama cha Walimu, Tanzania CWT.

Hulinda haki na Maslahi ya Walimu Nchini.

Husimamia Maadili mema ya Walimu Tanzania

Chama chetu Imara tena ni thabiti

Kiitikio

(Tuungane) Tuungane walimu wote nchini tuungane x 2

Mshikamano daima x 2

Mshikamano walimu ni Mkombozi wetu

Tufanye kazi kwa moyo x 2

Tufanye kazi kwa moyo, tujenge Taifa letu la Tanzania x2

2. Chama cha Walimu ni dira ya Walimu

Moto wetu wa Chama ni WAJIBU NA HAKI

Ni kiungo cha Walimu wote nchini Tanzania

Husuluhisha migogoro yote ya Walimu nchini

Husuluhisha migogoro yote ya Walimu nchini

Chama chetu Imara tena ni thabiti

Kiitikio

3. Chama cha Walimu Nchini Tanzania

Ni chama Imara na chenye Msimamo

Kinajenga Mahusiano mema na Vyama vingine

Kinashirikiana na vyama ndani na nje

Chama chetu Imara tena ni thabiti

Kiitikio

More Articles...

  1. WIMBO WA UZALENDO

Current Updates