TTU Strategic Plan

Mpango Mkakati 2015-2020:

  1. Ukusanyaji na utunzaji wa fedha na mali za Chama
  2. Kuboresha huduma kwa Wanachama
  3. Kutoa mafunzo kwa Wanachama, Viongozi na Watumishi wa Chama
  4. Kutetea na kusimamia haki na maslahi ya Wanachama
  5. Kuendeleza taaluma ya Ualimu na utaalamu wa  Walimu
  6. Kuimarisha demokrasia na utawala bora
  7. Kuboresha ushirikiano na mashirika na taasisi za ndani na nje ya nchi zenye malengo sawa na  CWT
  8. Kuimarisha Chama kiuchumi
  9. Kuboresha huduma katika masuala mtambuka VVU/Ukimwi, jinsia, utunzaji mazingira na Walimu wenye Ulemavu
  10. Kuimarisha tafiti na ukusanyaji wa takwimu na matumizi yake.

 Bofya hapa kupakua Mpango Mkakati 2015-2020

Current Updates