SEMINA YA KUJENGA UWEZO KWA WENYEVITI WA MIKOA NA WILAYA-JUNI 2017

Chama cha Walimu Tanzania(CWT) kinaendesha semina kwa ajili ya kuwajengea uwezo Wenyeviti wa Mikoa na Wilaya zote Tanzania bara. Semina hio inaendeshwa mkoani Dodoma katika ukumbi wa Cavilam kuanzia tarehe 19-22 Juni 2017.

 

Current Updates