Mkutano wa Watumishi wa Chama

Kutakuwa  na mkutano wa watumishi wote wa chama.

Mkutano huo utafanyika mjini Morogoro tarehe 13-14 Novemba 2014.