Inauguration of Geita TTU Administration in October 20.

Kutakuwa na uzinduzi wa mkoa wa CWT Geita tarehe 20/10/2014 Geita mjini katika ofisi za CWT. Mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyazi Tanzania na Rais wa CWT Mwl. Gratian Mukoba. Katika uzinduzi huo kutakuwa na kongamano la wadau wa elimu mkoani Geita.

Mada zitakazo jadiliwa katika kongamano hilo zitaongozwa na Ujumbe:
“Elimu itolawayo Tanzania na changamoto zake, Nini kifanyike ili kuboresha utoaji wa elimu nchini”.

Current Updates